Matokeo Kagera Sugar vs Simba leo

Matokeo Kagera Sugar vs Simba leo

0

Matokeo Kagera Sugar vs Simba leo 20 April 2019

Mechi Imeanza

Dakika ya 2 Kagera wanapata Free Kick langoni mwa Simba

Dakika ya 2 Kona kuelekea Simba

Dakika ya 3 Paul Ngalyoma anawakosa Simba bao mpira wake unapaa juu ya Lango

Dakika ya 5 Free Kick Simba wanapata baada ya Zana Coulibaly kuwekwa Chini

Dakika ya 9 Kagera Sugar wanapata Kona

Dakika 10

Kagera Sugar 0 – 0 Simba

Dakika ya 14 Simba wanapata Free Kick baada ya Niyonzima kufanyiwa madhambi

Simba wanashindwa kuitumia vyema nafasi hiyo baada ya mpira kuwababatiza wachezaji wa Kagera sUGAR

Goaaaaaal Kassim Hamis anaipatia Kagera Sugar bao la Kwanza baada ya kazi nzuri ya Ramadhan Kapera

Kagera Sugar 1 – 0 Simba

Sasa unaweza Kuzipata Tetesi za usajili Simba na Yanga kupitia App Hii

Dakika ya 22 Kagera Suga wanapata Kona

Dakika ya 25 Kagera wanawakosa tena Simba bao hii ilikuwa almanusra Kagera waongeze bao la pili

Kagera Sugar 1 – 0 Simba

Dakika ya 31 Simba wanapata Kona baada ya Okwi kuambaaambaa na Mpira na bekiwa Kagera anautoa Mpira

Emmanuel Okwi na Juma Nyosso wanaonekana kuonyeshana undava mara kwa mara kila wanapokutana

Dakika ya 40 Free Kick kueleka Simba

Inapigwa Free kick Aishi Manula anatoa na kuwa Kona

Goaaaaaaaal Ramadhan Kapera anaipatia Kagera Sugar bao la Pili

Kagera Sugar 2 – 0 Simba

Kwa tetesi za Usajili Install App yetu HAPA

HALF TIME

Kagera Sugar 2 – 0 Simba

KIPINDI CHA PILI

John Bocco kaingia kuchukua nafasi ya Haruna Niyonzima

Dakika ya 51 Simba wanapata kona

Dakika ya 52 Simba wanakosa bao la wazi baada ya kufanya shambulizi zuri

James Kotei anatoka anaingia Hassan Dilunga, Dakika ya 56

Goaaaaaaaaal dakika ya 63 Emmanuel Okwi anaipatia Simba bao la Kwanza

Kagera Sugar 2 – 1 Simba Sc

Okwi anapewa kadi ya njano baada ya kucheza Faulo

Kagera Sugar 2 – 1 Simba Sc

Dakika ya 65 Simba wanapata Kona wanashindwa kufunga bao

Dakika ya 68 Said Kipawa anapewa kadi kwa kuchelewesha muda

Dakika ya 72 Paul Bukaba anapiga kichwa kinagonga mwamba wa Juu na Kurejea uwanjani

Dakika ya 82 Erasto Nyoni anapewa kadi ya Njano baada ya kumchezea Faulo Ramadhan Kapera Pires

DAKIKA 5 ZINAONGEZWA

FULL TIME

Kagera Sugar 2 – 1 Simba

Kwa tetesi za Usajili Install App yetu HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY