Matokeo Mbeya City vs Azam Fc

Matokeo Mbeya City vs Azam Fc

0

Matokeo Mbeya City vs Azam Fc

Ligi Kuu soka ya Tanzania bara iliendelea leo kwa mchezo mmoja kati ya Mbeya City waliokuwa nyumbani Sokoine kucheza na Azam Fc.

Mchezo huo umemalizika kwa Azam Fc kupata ushindi wa bao 1 kwa 0 bao la Azam Fc likifungwa na Yakubu Mohammed dakika ya 45 ya Mchezo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY