Matokeo mechi 10 za Mwisho Simba vs Kagera Sugar

Matokeo mechi 10 za Mwisho Simba vs Kagera Sugar

0

Matokeo mechi 10 za Mwisho Simba vs Kagera Sugar

Kuelekea mchezo kati ya Kagera Sugar dhidi ya Simba haya ni matokeo ya Mechi 10 za Mwisho Simba ilipokutana na Kagera Sugar

Katika mechi hizo 10 Simba imeshinda mechi 5, Kagera Sugar imeshinda jumla ya 3 huku wakitoka sare mara 2.

19.05.18 LKB Simba Kagera Sugar 0 : 1
22.01.18 LKB Kagera Sugar Simba 0 : 2
02.04.17 LKB Kagera Sugar Simba 2 : 1
15.10.16 LKB Simba Kagera Sugar 2 : 0
07.02.16 LKB Kagera Sugar Simba 0 : 1
20.09.15 LKB Simba Kagera Sugar 3 : 1
06.04.15 LKB Kagera Sugar Simba 1 : 2
26.12.14 LKB Simba Kagera Sugar 0 : 1
05.04.14 LKB Kagera Sugar Simba 1 : 1
31.10.13 LKB Simba Kagera Sugar 1 : 1

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY