Matokeo Tp Mazembe vs Simba leo 13 April 2019

Matokeo Tp Mazembe vs Simba leo 13 April 2019

0

Matokeo Tp Mazembe vs Simba leo 13 April 2019

Matokeo ya Moja kwa Moja kati ya TP Mazembe dhidi ya Simba leo 13 April 2019 mechi Ikichezwa Stade Tp Mazembe Lubumbashi.

Mechi Imeanza

Dakika ya 1 Mpira wa Kurushwa kuelekea Simba

Goaaaaaaaaaal dakika ya 2 Simba wanapata bao kupitia kwa Emmanuel Okwi

TP Mazembe 0 – 1 Simba

Dakikaya 5 Mazembe wanajaribu kufanya shambulizi inakuwa Goal Kick

Dakika ya 10 Kona Kuelekea Simba

Dakika ya 13 Tp Mazembe wanapata free Kick wanashindwa kuitumia

Dakika ya 15 TP Mazembe kwa mara nyingine wanatengeneza shambulizi lakini Aishi Manula anawahi na kuwatibulia

Dakika ya 20 Kona kuelekea Simba

Goaaaaaaaaaaal TP Mazembe wanasawazisha kupitia kwa Chongo dakika ya 22

TP Mazembe 1 – 1 Simba

Dakika ya 25 Bado 1 kwa 1

Dakika ya 30

TP Mazembe 1 – 1 Simba

Dakika ya 35 TP Mazembe wanafanya Shambulizi zuri Manula anakuwa Shujaa

Goaaaaaaaaaaaaaal ELIA anaipatia Tp Mazembe bao la pili, Dakika ya 37

TP Mazembe 2 – 1 Simba

Dakika ya 42 Mazembe wanafanya shambulizi linagonga mwamba

HALF TIME

TP Mazembe 2 – 1 Simba

KIPINDI CHA PILI

Meddie Kagere anaonekana kuingia uwanjani kuchukua nafasi ya Mzamiru Yassin

Dakika ya 46 TP Mazembe wanapata Kona wanashindwa kuitumia

Mazembe wanafunga bao la tatu lakini refarii anasema kuwa tayari ni Offside

Dakika ya 52 KALABA anakunjua shuti nje ya 18 Aishi Manula anaokoa na kuwa kona

Clatous Chama anaonekana kuingia kuchukua nafasi ya Juuko Murshid

Dakika ya 60 TP Mazemba wanawakosa Simba bao baada ya Nyoni na Manula kuchanganyana

Goaaaaaaaal TP Mazembe wanapata bao la 3 Kupitia kwa MPUTU

Simba walifanya makosa TP Mazembe wameitumia nafasi vizuri baada ya Mchezaji kubaki na kipa Aishi Manula, Manula aliucheza mpira ambao ulienda pembeni na kumkuta Mputu ambaye aliuchagulia tu mpira kwa kwenda

TP Mazembe 3 – 1 Simba

Emmanuel Okwi anatoka anaingia Rashid Juma

Dakika ya 71 Erasto Nyoni anapewa kadi ya njano

Goaaaaaaaaaaal Muleka anaipatia TP Mazembe bao la 4

TP Mazembe 4 – 1 Simba

Dakika ya 80

TP Mazembe 4 – 1 Simba

Dakika ya 83 Mazembe wanagongesha Mwamba ilikuwa hatari kwa Simba

Likonza anaingia kuchukua nafasi ya Mputu

Dakika 3 za Nyongeza

FULL TIME

Tp Mazembe 4 – 1 Simba

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY