Matokeo Yanga vs Kagera Sugar 11 April 2019

Matokeo Yanga vs Kagera Sugar 11 April 2019

0

Matokeo Yanga vs Kagera Sugar 11 April 2019

Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Yanga na Kagera Sugar leo kutoka uwanja wa CCM KIRUMBA

Muda wowote kutoka sasa mechi Itaanza

Mechi Imeanza

Yanga 0 – 0 Kagera

Dakika ya 4 Yanga wanafanya shambulizi zuri lakini krosi inakuwa ndefu

Dakika ya 7 Paul Ngalyoma yupo chini baada ya kugongana na Thaban Kamusoko

Dakika ya 11 Kona kuelekea Yanga

Dakika ya 15

Yanga 0 – 0 Kagera Sugar

Dakika ya 18 Makambo anajaribu kutwanga Kichwa kipa anadaka

Dakika ya 23 Makambo anajaribu shuti kali kipa Kisubi anadaka

Dakika ya 25 Paul Godfrey anajaribu shuti mpira unaenda nje ya lango

Goaaaaaaal Paul Ngalyoma anaipatia Kagera Sugar bao la Kuongoza

Yanga 0 – 1 Kagera Sugar

Dakika ya 35 Kona Kuelekea Kagera Sugar

Goaaaaaaaaal dakika ya 35 Yanga wanasawazisha baada ya Kagera Sugar kujifunga

Yanga 1 – 1 Kagera Sugar

Yanga wanacharuka wanapata Kona

HALF TIME

Yanga 1 – 1 Kagera Sugar

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha Pili Kimeanza

Goaaaaaaaaaaal Heritier Makambo anaipatia Yanga bao la Pili Kelvin Yondani akitoa Assist

Goaaaaaaaaaaaal dakika ya 58 Kagera wanasawazisha bao

Yanga 2 – 2 Kagera Sugar

Goaaaaaaaaaal Thaban Kamusoko anaongeza bao kwa Free Kick

Dakika ya 81 Kelvin Yondani anapewa kadi nyekundu

Mrisho Ngassa anatoka anaingia Mohammed Issa banka

FULL TIME

Yanga 3 – 2 Kagera Sugar

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY