Matokeo yote Robo Fainali CAF Confederation Cup

Matokeo yote Robo Fainali CAF Confederation Cup

0

Matokeo yote Robo Fainali CAF Confederation Cup

CS Sfaxien (#Tunisia) 2-0 Nkana (#Zambia) [Agg: 3-2]
Zamalek (#Egypt) 1-0 Hassania Agadir (#Morocco) [Agg: 1-0]
RS Berkane (#Morocco) 5-1 Gor Mahia (#Kenya) [Agg: 7-1]
Postponed : Al Hilal Omdurman (#Sudan) vs Etoile du Sahel (#Tunisia) [Agg: 1-3]

Kwa matokeo hayo timu zilizotinga Nusu Fainali ni CS Sfaxien ya Tunisia baada ya Kumtoa Nkana Fc ya Zambia.

Zamalek kutoka Misri baada ya kumuondosha Hassania Agadir ya Morocco na RS Berkane ya Morocco imetinga nusu Fainali baada ya kuwaondoa Gor Mahia kutoka Kenya

Mechi moja kati ya Al Hilal ya Sudan na Etoile Du Sahel iliahirishwa kutokana na kuwepo hofu kwa hali ya amani nchini Sudan mara baada ya aliyekuwa Rais Omary Al Bashir kuondolewa madarakani na Jeshi la nchi hiyo. Install App bora ya Michezo habari zikufikie papo kwa hapo zinapotoka Bonyeza Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY