Matokeo Yote UEFA Champions League 16 April 2019

Matokeo Yote UEFA Champions League 16 April 2019

0

Matokeo Yote UEFA Champions League 16 April 2019

Manchester United na Juventus jana zimeangukia pua na kuondoshwa katika michuano ya UEFA champions baada ya jana kufungwa katika mechi zao.

Manchester United wao walijikuta wakiangukia pua vibya baada ya kufungwa bao 3 kwa 0 na kufanya matokeo ya Jumla kuwa bao 4 kwa 0.

Upande wa Juventus ambao licha ya kutangulia kuongoza kwa bao 1 kwa 0 la Cristiano Ronaldo walijikuta wakifungwa bao 2 kwa 1 mabao ya Ajax yakifungwa na Donny Van De Beek na Mathijs de Ligt.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY