Mbelgiji Simba aweka dharau pembeni

Mbelgiji Simba aweka dharau pembeni

0

Mbelgiji Simba aweka dharau pembeni

Kesho katika kuwanja wa Mkwakwani jijini Tanga kutakuwa na mchezo kati ya Coastal Union dhidi ya Yanga mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania bara TPL.

Kuelekea mchezo huo kocha mkuu wa Simba Mbelgiji Patrick Aussems ameweka dharau kando na kusema kuwa anaiheshimu Coastal Union kama ambavyo anavyoiheshimu Tp Mazembe.

Mbelgiji huyo amesema amekiandaa vyema kikosi chake kuikabili Coastal Union na lengo ni kuhakikisha wanashinda mechi zake na kubeba ubingwa wa ligi kuu. Install App bora ya Michezo habari zikufikie papo kwa hapo zinapotoka Bonyeza Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY