Post ya Dismas Ten baada ya Simba kufungwa na Kagera Sugar

Post ya Dismas Ten baada ya Simba kufungwa na Kagera Sugar

0

Post ya Dismas Ten baada ya Simba kufungwa na Kagera Sugar

Leo mkoani Kagera klabu ya Simba imejikuta ikiacha alama 3 mbele ya Kagera Sugar ambao wameifunga Simba bao 2 kwa 1.

Baada ya mchezo huo afisa habari wa Yanga Dismas Ten ameandika ujumbe huu hapa kupitia ukurasa wake wa instagram

Yaani ‘mbeleko’ mpaka wenyewe mnaona aibu..! Shubaakengemit zenu..!Mtu kapigwa chenga kaanguka aliyepiga chenga anapewa kadi..!😂😂

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY