Post ya Dismas Ten baada ya Simba Kukaa

Post ya Dismas Ten baada ya Simba Kukaa

0

Baada ya Simba kupoteza kwa bao 4 kwa 1 mbele ya TP Mazembe nchini Congo , Afisa habari wa Yanga ametumia ukurasa wake kuwatumia Ujumbe Simba baada ya Mchezo Huo.

Ujumbe wake huu hapa

Tuliwambia msimpeleke ‘mwali’ Congo 😂😂
#watuwanachapamaunohatari 😂😂😂

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY