Post ya Haji Manara baada ya mechi na Tp Mazembe

Post ya Haji Manara baada ya mechi na Tp Mazembe

0

Simba imepoteza mchezo wa mkondo wa pili kwa bao 4 kwa 1 wakicheza Lubumbashi dhidi ya TP Mazembe.

Baada ya mchezo huo huu ndiyo Ujumbe aliouandika Afisa habari wa Simba Haji manara kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Tumetolewa lakini tumeacha alama,tusijilaumu bali kwa hatua hii tujipongeze na Inshaallah Mwakani tutarudi kwa nguvu kubwa Kwenye Ligi ya Mabingwa!!
Shukran Mungu kwa ulichotujaalia
Sasa tunarudi kwa nguvu kubwa kuchukua ubingwa wetu wa Tanzania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY