Post ya Haji Manara baada ya Simba kukalishwa na Kagera

Post ya Haji Manara baada ya Simba kukalishwa na Kagera

0

Post ya Haji Manara baada ya Simba kukalishwa na Kagera

Simba leo imekubali kuacha jumla ya points 3 wakicheza katika uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera dhidi ya wenyeji wao Kagera Sugar ya mkoani humo kwa kichapo cha bei 2 kwa 1.

Baada ya mechi hiyo Haji Manara aliandika ujumbe huu kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Neno kutoka Dawati la Msemaji wa Mabingwa!!
Tumefungwa kwa sababu hatukucheza vzuri hususan kipindi cha kwanza! Kagera walikuwa bora uwanjani kutuzidi na hii ndio football!!
Waamuzi walichezesha vema na sasa tunajipanga kwa games zinazokuja,Muhimu wachezaji na benchi letu wajue hyo ni indications kwao ,ligi hii sio laini laini,wapambane kuturejeshea ubingwa wetu!!
Tukutane Mwanza,kiporo cha Ndizi kimechacha na kimewekwa Sukari,hakikulika!!

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY