Post ya Haji Manara baada ya Simba kushinda leo

Post ya Haji Manara baada ya Simba kushinda leo

0

Post ya Haji Manara baada ya Simba kushinda leo

Mara baada ya ushindi wa Simba wa bao 2 kwa 0 dhidi ya Alliance jijini Mwanza afisa habari wa Simba Haji Manara ameandika ujumbe huu hapo chini akituma Ujumbe kwa Yanga.

Alhamdulillah !! Thanks our players 🙏
Tunaendelea kulisaka taji letu,mliokaa hapo juu katafuteni nafasi,wenyew tunakuja 🙏

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY