Post ya Haji Manara baada ya yanga kubanwa na Ndanda

Post ya Haji Manara baada ya yanga kubanwa na Ndanda

0

Post ya Haji Manara baada ya yanga kubanwa na Ndanda

Baada ya Yanga kubanwa kwa sare ya bao 1 kwa 1 wakicheza dhidi ya Ndanda Fc ya mkoani Mtwara huu ndiyo ujumbe alioupost Haji manara kupitia ukurasa wake wa Instagram.

Hahahahaha msijitoe ufahamu kwa habari za konki liquid,Wanakuchele wameziminya naniliu huko!!
Hahahahaha Jumamosi mje kutushangilia mabingwa wenu wa nchi.

Yes We Can

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY