Ratiba ligi kuu Tanzania bara leo 18 April 2019

Ratiba ligi kuu Tanzania bara leo 18 April 2019

0

Ratiba ligi kuu Tanzania bara leo 18 April 2019

Ligi Kuu soka ya Tanzania bara TPL itaendelea leo mara baada ya mechi mbili za jana kuchezwa mkwakwani Simba ikiishinda Coastal Union 2 kwa 1

na katika uwanja wa Jamhuri Morogoro Mtibwa Sugar ikiifunga Yanga bao 1 kwa 0.

Leo kutakuwa na mechi kati ya Azam Fc waliosafiri mpaka kusini mwa Tanzania mkoani Mtwara kucheza dhidi ya Ndanda mechi ikianza saa kumi kamili katika uwanja wa Nangwanda Sijaona.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY