Ratiba ligi Kuu Tanzania TPL leo 20 April 2019

Ratiba ligi Kuu Tanzania TPL leo 20 April 2019

0

Ratiba ligi Kuu Tanzania TPL leo 20 April 2019

Ligi kuu soka ya Tanzania bara itaendelea leo kwa mechi moja kuchezwa huko mkoani Kagera katika mji ambao ni maarufu zaidi kwa kuwa na ndizi na kutoa aina ya wadudu ambao hutumika kama chakula na kuuzwa kama aina nyingine ya mboga wadudu aina ya Panzi waitwao Senene.

Mchezo huo utakuwa ni kati ya Simba ambao watakuwa wageni wa Kagera Sugar mchezo ambao utachezwa katika uwanja wa Kaitaba uliopo mjini Bukoba.

Kuekea mchezo huo meneja wa Simba Patrick Rweyemamu amefunguka kuwa vijana wote 18 waliosafiri na timu kwenda Bukoba wapo tayari kwaajili ya pambano hilo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY