Shabiki aliyetoka Mbeya kwenda Dar kisa mechi ya Simba ala shavu

Shabiki aliyetoka Mbeya kwenda Dar kisa mechi ya Simba ala shavu

0

Shabiki aliyetoka Mbeya kwenda Dar kisa mechi ya Simba ala shavu

Shabiki Ramadhan Mohamed ambaye alikuja Dar es Salaam akitokea Mbeya kwa miguu ili ashuhudie mchezo wa robo fainali ya #CAFCL dhidi ya TP Mazembe, leo amekutana na viongozi, wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi na sekretarieti ambapo amehaidiwa kugharamiwa na klabu kwenda Lubumbashi kuangalia mchezo wa marudiano ambao utachezwa Jumamosi Aprili 13, 2019. 

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY