Simba kumkosa mmoja aliyecheza dhidi ya Kagera Sugar

Simba kumkosa mmoja aliyecheza dhidi ya Kagera Sugar

0

Simba kumkosa mmoja aliyecheza dhidi ya Kagera Sugar

Kikosi cha Simba 23 April 2019 kitashuka Dimbani kucheza na timu ya Alliance Fc ya jijini Mwanza katika mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL.

Kuelekea mchezo huo Kocha mkuu wa Simba Mbelgiji Patrick Aussems amethibitisha kuwa Simba itamkosa Erasto Nyoni ambaye anaugua kwahiyo hataweza kucheza katika mchezo huo.

Lakini wachezaji wengine wote waliosafiri kwenda Kanda ya Ziwa wakao fiti na tayari kwa pambano hilo litakalopigwa katika uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanza.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY