Simba yaipa Yanga dozi Nene

Simba yaipa Yanga dozi Nene

0

Simba yaipa Yanga dozi Nene

Kikosi cha Simba Queens leo kimefanikiwa kuendeleza ubabe mbele ya Yanga Princess baada ya kuwapa kichapo cha bao 5 kwa 1 mchezo wa ligi kuu ya wanawake.

Katika mchezo wa raundi ya Kwanza Simba waliifunga Yanga bao 7 na leo wameshinda tano kwa moja.

Katika mchezo wa leo Magoli ya Simba yamefungwa na Opah Clement (2), Mwanahamisi Omary, Joele Bukulu na Amina Ramadhani.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY