Tetesi za usajili Simba leo 23 April 2019

Tetesi za usajili Simba leo 23 April 2019

0

Tetesi za usajili Simba leo 23 April 2019

Ukisikia Simba hawatanii basi jua hawatanii kweli na wamepanga kuwa na moja ya kikosi tishio sana barani Afrika ili waweze kufanya vyema katika mashindano yote watakayoshiriki kwaajili ya msimu ujao wa ligi kuu, shirikisho yani Azam Sports Federation kimataifa na makombe mengine kama Mapinduzi na Sportpesa.

Ili kufanya vizuri katika mashindano hayo yote ni lazima kuwa na kikosi imara ambacho kitaweza kukabiliana katika michuano hiyo pasipo kuwa na visingizio .

Zahera ataja watakaokosekana dhidi ya Azam Fc

Basi ikufikie tu kuwa Simba kwasasa wapo katika mipango ya kuhakikisha wanainasa saini ya straika kutoka Mwadui Fc Salim Aiyee ambaye ni kinara wa upachikaji Mabao TPL akiwa na mabao 16 sawa na Straika wa Simba Meddie Kagere.

Simba msomaji wa Kwata Unit inaelezwa kuwa wapo katika mipango hiyo ya kumnasa Salim Aiyee ambaye amekuwa na Msimu mzuri kiasi cha kuanza kuwatamanisha vilabu vingi vya ndani na nje ya Tanzania.

Lakini jambo jingine ambalo linawafanya Simba kutaka kuinasa saini ya Aiyee ni kutokana na baadhi ya nyota wake kama Emmanuel Okwi kuwa katika msukumo wa kutakiwa na vilabu vikubwa barani Afrika. kwa tetesi za Usajili Install App Yetu BONYEZA HAPA

Zaidi ya watu 10,000 wameinstall App bora ya Michezo wewe Unangoja NINI?? Bonyeza Hapa Kuinstall

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY