Yanga wanashusha mashine hatari,Uongozi wafunga yao

Yanga wanashusha mashine hatari,Uongozi wafunga yao

0

Yanga wanashusha mashine hatari,Uongozi wafunga yao

Wakati watu wakisema Yanga wana Njaa, Yanga ni wazee wa bakuli na maneno kama hayo wenye Yanga yao wala hawana habari na wanaendelea kuichangia timu kwa udi na uvumba kwani wanaamini ndiyo nguvu pekee iliyobaki,.

Basi unaambiwa msomaji wa Kwata Unit Yanga wao tayari washaanza mchakato wa kumpata moja ya washambuliaji hatari wa Fc Lupopo ya Congo ambaye anajulikana kwa jina la Rodrick Mutuma raia wa Zimbabwe.

Yanga inatajwa kuwa katika mipango hiyo huku nyota huyo akiwa katika mipango ya kocha Zahera Mwinyi ambaye amewahi kuwa kocha katika timu za Congo miaka ya Nyuma

Alipotafutwa afisa habari wa Yanga Godlisten Anderson Chicharito alijaribu kufichaficha na alifunguka kuwa wao kama Yanga kwasasa badao hawajaanza usajili na wataanza baada ya ligi kumalizika .

Nyota huyo anacheza nafasi ya Ushambuliaji akiwa na umri wa miaka 31 kwasasa akizaliwa April 5, 1988. Kuzipata habari za Usajili Install App yetu BONYEZA HAPA

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY