Baada ya kutajwa kutua Yanga Mo atoa tamko kuhusu Mkude

Baada ya kutajwa kutua Yanga Mo atoa tamko kuhusu Mkude

0

Baada ya kutajwa kutua Yanga Mo atoa tamko kuhusu Mkude

Leo kumekuwa na taarifa zinazohusu mchezaji wa Simba Jonas Mkude kutajwa kutua kwenye kikosi cha Yanga baada ya kumalizika msimu huu.

Taarifa hizo zinadai kuwa Mkude, Erasto Nyoni na Shomari Kapombe wametengewa kiasi cha milioni 200 na Yanga ili kuweza kuwanasa baada ya msimu kwani mikataba yao itakuwa imeisha.

Baada ya Taarifa hizo kuwa zikitambaa kwa kasi boss wa Simba Bilionea Mohammed Dewji “Mo” ametoa tamko kuhusu Jonas Mkude na Kusema wanasimba wasiwe na wasiwasi kwani haendi popote.

Wanasimba msiwe na wasiwasi, Mkude haendi popote! Jumaah Kareem

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY