Bandari waipa Kichapo Chemelil Sugar

Bandari waipa Kichapo Chemelil Sugar

0

Bandari waipa Kichapo Chemelil Sugar

Ligi kuu ya Kenya iliendelea leo kwa mechi moja kuchezwa Bandari akiwa nyumbani kuikaribisha Chemelil Sugar.

Katika mchezo huo Bandari wamepata ushindi wa bao 3 kwa 1 huku magoli ya Bandari yakifungwa na Yema Mwana ambaye aliingia kambani mara 2.

Bandari watacheza mchezo unaofuata WATACHEZA na TUSKER Fc mechi inayotarajiwa kuwa ngumu.

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY