Jack Tuyisenge asajiliwa timu hii

Jack Tuyisenge asajiliwa timu hii

0

Jack Tuyisenge asajiliwa timu hii

Jack Tuyisenge ambaye alikuwa akitajwa kuwaniwa na timu za Simba, Yanga nayo ikitajwa lakini pia KLABU ya As Vita ya nchini Congo nayo ilikuwa ni moja vilabu ambavyo vikitajwa kuwania saini ya mchezaji huyo kutoka klabu ya Gor Mahia.

Jack Tuyisenge kupitia vyombo vya habari vya hapa nchini Kenya vimeripoti kuwa mchezaji Jack Tuyisenge amejiunga na klabu ya Petro Atletico ya Angola.

Timu hiyo ambayo makao yake makuu ni Mji wa Luanda imetajwa kumsaini nyota huyo kwa dau ya milioni 15 za Kikenya ambazo ni sawa na milioni 340 za Kitanzania.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY