Kikosi cha Yanga dhidi ya Ruvu Shooting leo

Kikosi cha Yanga dhidi ya Ruvu Shooting leo

0

Kikosi cha Yanga dhidi ya Ruvu Shooting leo 14 May 2019

Hiki ndicho kikosi cha Yanga ambacho kitaivaa Ruvu Shooting katika mchezo wa ligi kuu soka ya Tanzania Bara TPL

Mechi ya Kwanza Yanga ilishinda bao 3 kwa 2 bao la USHINDI likifungwa na Makambo dakika za jioni kabisa akifunga kwa kichwa.

 1. Klaus Kindoki
 2. Juma Abdul
 3. Haji Mwinyi
 4. Abdallah Shaibu Ninja
 5. Kelvin Yondani
 6. Feisal Salum “Fei Toto”
 7. Paul Godfrey
 8. Raphael Daud
 9. Heritier Makambo
 10. Papy Tshishimbi
 11. Deus Kaseke

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

Wachezaji wa Akiba

 1. Ramadhan Kabwili
 2. Jaffary Mohammed
 3. Said Juma
 4. Thaban Kamusoko
 5. Haruna Moshi
 6. Ibrahim Ajibu
 7. Amis Tambwe

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY