Manara aandika ujumbe mzito kwa wachezaji Simba

Manara aandika ujumbe mzito kwa wachezaji Simba

0

Manara aandika ujumbe mzito kwa wachezaji Simba

Kueleeka mechi kati ya Simba na Mtibwa Sugar leo uwanja wa Uhuru jijini Dar Es Salaam afisa habari wa Simba Haji Manara ameandika ujumbe mzito kuelekea mchezo huo.

Wachezaji wetu wapendwa ,mnajua mapenzi waliyonayo Wanasimba kwenu,mnafahamu kiu yao!!
Mnajua karaha wazipatazo mtaani msiposhinda Mabingwa wetu wa nchi!!
Najua sometimes mpira una matokeo ya kihayawani but nyie ni another level mkidhamiria kwa jinsi nnavyowajua!!
Nakumbuka mlipoambiana Dressing room ktk game na As Vitta,hebu katupeni Points tatu leo!!
We need only eight points guys!!
Yes Mtibwa ni timu bora mno ila mkiamua nyie ni bora maradufu!!
Haya Haya Haya Haya Wanaume ,Wanasimba leo watakuja kuwapa support ili tuanike Makopa juani!!

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY