Matokeo Biashara United vs Yanga leo

Matokeo Biashara United vs Yanga leo

0

Matokeo Biashara United vs Yanga leo 10 May 2019

Matokeo Biashara United wenyeji wa mchezo wa leo wakicheza na Yanga kutoka Dar Es Salaam Kutoka Musoma Mkoani Mara.

Mechi Imeanza

Biashara United 0 – 0 Yanga

Dakika ya 2 Mo Banka anajaribu suti linakatika na kupita nje kidogo ya lango

Dakika 5

Biashara United 0 – 0 Yanga

Dakika ya 7 KONA kuelekea Yanga

Goaaaaaaaal dakika ya 8 Biashara United wanapata bao

Biashara United 1 – 0 Yanga

Yanga wanapata Kona dakika ya 10

Dakika ya 16 Yanga wanafanya shambulizi zuri langoni mwa Biashara United lakini kipa Barola anaudaka mpira

Dakika 20

Biashara United 1 – 0 Yanga

Dakika 30

Biashara United 1 – 0 Yanga

Dakika ya 38 Paul Godfrey anapewa kadi ya njano kwa mchezo usio wa kiungwana

Dakika ya 39 Klaus Kindoki anageuka shujaa baada ya kuokoa mpira hatari

HALF TIME

Biashara United 1 – 0 Yanga (8′ Tariq Seif)

KIPINDI CHA PILI

Kimeanza

Biashara United 1 – 0 Yanga

Dakika ya 50 Makambo anapiga Kichwa kinapita nje kidogo ya Lango

Dakika ya 52 Andrew Vincent anapewa kadi ya njano

Raphael Daud na Issa Banka wanatoka wanaingia Deus Kaseke na Mrisho Ngassa

Dakika ya 63 Yanga wanakoswa tena bao , Yondani anasimama imara na kuondoa mpira

Dakika ya 70 Haruna Moshi anaingia kuchukua nafasi ya Thaban Kamusoko

Dakika ya 72 Yanga wanakosa nafasi ya wazi hapa, beki Lameck anakuwa shujaa

Haruna Moshi anaonekana kuituliza Yanga toka alipoingia katika eneo la katikati

Dakika ya 80

Biashara United 1 – 0 Yanga (8′ Tariq Seif)

Dakika 3 za Nyongeza

FULL TIME

Biashara United 1 – 0 Yanga (8′ Tariq Seif)

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY