Matokeo Europa : Valencia vs Arsenal 9 May 2019

Matokeo Europa : Valencia vs Arsenal 9 May 2019

0

Matokeo Europa : Valencia vs Arsenal 9 May 2019

Klabu ya Arsenal ya Nchini Uingereza imefanikiwa kutinga katika hatua ya Fainali ya michuano ya Europa League mara baada ya kuwatoa Valencia ya Nchini Hispania katika hatua ya nusu Fainali.

Katika mechi ya mkondo wa pili Arsenal wameshinda bao 4 kwa 2 na kufanya matokeo ya Jumla kuwa 7 kwa 3.

Magoli ya Arsenal yamewekwa kambani na Pierre Emerick Aubamayang akifunga Hat Trick na Alexandre Lacazette huku magoli ya Valencia yakifungwa na Kevin Gameiro

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY