Matokeo Simba vs Azam leo 13 May 2019

Matokeo Simba vs Azam leo 13 May 2019

0

Matokeo Simba vs Azam leo 13 May 2019

Mechi imeanza

Simba 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 4 Stephan Kingue anajaribu shuti mpira unapaa juu

Dakika 5

Simba 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 8 Free Kick kuelekea Simba

Dakika ya 9 Azam wanapata kona

Dakika ya 13 Simba wanafanya shambulizi zuri lakini Mpira haukukaa sawa mguuni mwa Okwi

Dakika ya 14 Simba wanawakosa Azam Fc bao la wazi

Dakika ya 15 Obrey Chirwa anapewa kadi ya njan kwa kumchezea rafu Erasto nyoni

Dakika ya 18 Kona kuelekea Azam Fc

Dakika ya 20 Joseph Mahundi anapewa kadi ya njano

Dakika ya 27 Meddie Kagere anajaribu shuti kali lakini Razack Abalora anadaka mpira

Dakika ya 29 Donald Ngoma anakosa goli la wazi

Dakika 35

Simba Sc 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 45 Simba wanapata Kona

HALF TIME

Simba 0 – 0 Azam Fc

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

KIPINDI CHA PILI

Kipindi cha pili Kimeanza

Simba Sc 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 49 Simba wnaafanya shambulizi la kibabe sana na almanusara wapate bao

Dakika ya 53 Simba wanapata Kona

Dakika ua 54 Ramadhan Singano anatoka anaingia Danny Lyanga

Dakika ya 60 Emmanuel Okwi anapewa kadi ya njano

Bruce Kangwa anapewa kadi ya njano

Dakika ya 73 Simba wanapata kona ya 11 wanashindwa kuitumia

DAKIKA 80

Simba 0 – 0 Azam Fc

Dakika ya 87 Obrey Chirwa anakosa bao la wazi

Dakika 4 za Nyongeza

Razack Abarola anapewa kadi ya njano

FULL TIME

Simba 0 – 0 Azam fc

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY