Matokeo Simba vs Kagera Sugar leo

Matokeo Simba vs Kagera Sugar leo

0

Matokeo Simba vs Kagera Sugar leo 10 May 2019

Matokeo ya Moja kwa moja kati ya Simba dhidi ya Kagera Sugar TPL Leo 10 May 2019 kutoka uwanja wa Uhuru Jijini Dar Es Salaam.

Mechi Imeanza

Simba 0 – 0 Kagera Sugar

Dakika ya 3 Simba almanusra wachanganyane baada ya Manula Kutoka lakini Erasto Nyoni anaokoa

Dakika ya 4 Aishi manula yupo chini akihitaji matibabu

Dakika 5

Simba 0 – 0 Kagera Sugar

Dakika ya 6 Kona kuelekea Kagera Sugar

Dakika 10

Simba 0 – 0 Kagera Sugar

Dakika ya 12 Simba wanapata Kona inaenda kuchezwa na Dilunga

Dakika 15

Simba 0 – 0 Kagera Sugar

Dakika 20

Simba 0 – 0 Kagera Sugar

Dakika 30

Simba 0 – 0 Kagera Sugar

Dakika ya 33 Ramadhan Kapera yupo chini Akihitaji msaada wa madaktari

Goaaaaaaal Kagera Sugar wanapata bao baada ya Mohammed Hussein Kujifunga

Simba 0 – 1 Kagera Sugar

HALF TIME

Simba 0 – 1 Kagera Sugar (OG Mohammed Hussein)

KIPINDI CHA PILI

Kimeanza

Simba 0 – 1 Kagera Sugar

Dakika 55

Simba 0 – 1 Kagera Sugar

Simba wanazigusa pasi za hapa na pale lakini bado milango inakuwa migumu

Dakika ya 63 Simba wanapata kona inapigwa na Chama Kipa Said Kipao anadaka

Dakika ya 67 Zana Coulibaly anakosa bao BAADA ya kupiga shuti hafifu

Dakika ya 68 James Kotei anatoka anaingia Jonas Mkude

Simba 0 – 1 Kagera Sugar

Dakika ya 72 Kichwa cha Kagere kinashindwa kulenga bao

Dakika ya 75

Simba 0 – 1 Kagera Sugar

DAKIKA YA 80

Simba 0 – 1 Kagera Sugar

Dakika ya 86 Simba kupitia kwa Okwi wanakosa bao

Dakika 7 za Nyongeza

Simba wanawatafuta vilivyo Kagera Sugar

FULL TIME

Simba 0 – 1 Kagera Sugar

Install App ya Kijanja ya Mchezo Hapa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY