Matokeo Simba vs Mtibwa leo

Matokeo Simba vs Mtibwa leo

0

Matokeo Simba vs Mtibwa leo 16 May 2019

Matokeo ya moja kwa moja kati ya Simba Sc dhidi ya Mtibwa Sugar kutoka Mkoani Morogoro, mechi inachezwa uwanja wa Uhuru

Mechi Imeanza

Simba Sc 0 – 0 Mtibwa Sugar

Dakika ya 1 Mtibwa Sugar wanafanya shambulizi la Kiume langoni mwa Simba lakini mpira unapita nje kidogo ya lango.

Dakika ya 2 Simba wanawajibu Mtibwa lakini inakuwa Goal Kick

Dakika ya 5 Simba wanapata Kona inaenda kuchezwa na Haruna Niyonzima

Dakika ya 6 Emmanuel Okwi anapewa kadi ya njano mara baada ya kupinga maamuzi ya Refa

Dakika ya 7 Simba wanapata kona hii ni ya pili kwa Simba lakini wanashindwa kuitumia vyema

Dakika ya 9 Simba wanashambulia na kukosa moja ya nafasi nzuri kabisa

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

Dakika 10

Simba Sc 0 – 0 Mtibwa Sugar

Dakika ya 14 Salum Kihimbwa anatolewa nje baada ya kuumia, aligusana na Jonas Mkude

Dakika ya 17 Simba wanapata kona nyingine

Dakika ya 18 Simba wanapata Kona nyngine huku Mtibwa wakiwa hawajapata kona yoyote ile

Dakika ya 20 Okwi anapata nafasi ya wazi kabisa lakini anazubaa na walinzi wa Mtibwa wanaokoa

Dakika ya 22 Simba wanashambulia tena kwa shambulizi kali Kado anatokea na kutibua

Dakika 30 Haruna Chanongo anaachia shuti nje ya 18 na Manula anadaka uzuri

Dakika ya 31 Simba wanapata kona

Goaaaaaaaaaaaaaal John Bocco anaipatia Simba bao la Kwanza

Simba 1 – 0 Mtibwa

Dakika ya 42 Emmanuel Okwi anakosa bao la wazi baada ya kuwekewa mpira mzuri na Kagere

Dakika ya 43 Mtibwa wanapata Free Kick karibu na D

HALF TIME

Simba 1 – 0 Mtibwa Sugar

KIPINDI CHA PILI

Goaaaaaal Chama anaipatia Simba bao la plili, dakika ya 48

Goaaaaaaaaaal Emmanuel Okwi anaipatia Simba bao la 3

Simba 3 – 0 Mtibwa Sugar

Dakika 65

Simba 3 – 0 Mtibwa Sugar

Dakika ya 69 Salum Kihimbwa anajaribu shuti kali lakini Aishi Manula anauchukua mpira kirahisi tu.

Dakika ya 73 Adam Salamba anachukua nafasi ya Meddie Kagere

Dakika ya 74 Ismail Aidan Mhesa anakosa bao la wazi kabisa kuipatia Mtibwa walau goli moja

RELATED

Matokeo Kagera Sugar vs Stand United

Dakika ya 74 Chama anachezewa madhambi , mpira wa adhabu kuelekea Mtibwa

Dakika ya 76 Mpira wa kurushwa kuelekea Mtibwa

Simba wanaendelea kuzigusa moja moja lakini wanashindwa kuzitumia nafasi wanazotengeneza kupata mabao

Dakika ya 78 Mzamiru Yassin anapiga shuti hafifu kipa anadaka kirahisi

Dakika ya 79 Simba wanatenegeneza nafasi nyingine nzuri lakini shuti la Chama linapaa juu ya Lango

Dakika ya 80 Mtibwa wanapata Free Kick wanashindwa kuitumia vyema.

Dakika ya 81 Riphat Hamis Msuya anapata nafasi ya wazi kabisa akiwa ameshampiga chenga manula anapiga nje

Dakika ya 84 Mtibwa wanapata Kona baada ya shambulizi lakini Dickson Daud anacheza faulo na mpira unaelekea Mtibwa

Dakika ya 85 Adam Salamba anakosa nafasi ya wazi, alipiga mpira kipa Anaokolea kwenye chaki

DAKIKA 3 Za Nyongeza

Simba 3 – 0 Mtibwa Sugar

FULL TIME

Simba 3 – 0 Mtibwa Sugar (Bocco,Chama, Okwi)

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY