Post ya Haji Manara baada ya Simba kutwaa Ubingwa

Post ya Haji Manara baada ya Simba kutwaa Ubingwa

0

Post ya Haji Manara baada ya Simba kutwaa Ubingwa

Baada ya Simba kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu soka ya Tanzania bara huu ndiyo ujumbe aliouandika Haji Manara.

Alhamdulillah ,hatimae tumeutwaa tena,
Tumshukuru Mungu muweza aliyetaka Simba iwe Bingwa tena!!
Tuwapongeze sana Wachezaji wetu wote,Benchi la ufundi chini ya Chief coach Patrick Aissems,lakini kipekee tuwashukuru nyie Wanachama na Washabiki wetu ambao mm nnaamini ndio chachu ya huu ubingwa!!
Always kwangu Star wa kwanza Simba ni Mshabiki wetu,Thanks a lot Guys!!
Na kwa wale kwasukwasu kipindi hiki waniibie simu yangu tu,vingenevyo Instagram watuachie kwa sasa

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY