Straika wa kimataifa aaga Simba

Straika wa kimataifa aaga Simba

0

Straika wa kimataifa aaga Simba

Nyota wa klabu ya Simba Mganda Emmanuel Okwi anayemaliza muda wake baada ya kuhudumu kwa misimu miwili ndani ya kikosi hiko amewaaga wanaSimba.

Okwi ambaye ameandikwa kwa kifupi sana kuhusu kuondoka kwake ametumia maneno ya Kiingereza kwa kusema kwamba Kwaheri ni neno baya zaidi kulitamka.

Ila kutokana na tetesi za muda mrefu ambazo zimekuwa zikimhusisha na kutua Kaizer Chief ya Afrika kusini ni wazi hiyo ni bye bye msimbazi.

Goodbye is the saddest word!! #EO7#GODABOVEALL#TOQUITISNOTANOPTION

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY