Tetesi za usajili Simba leo 16 May 2019

Tetesi za usajili Simba leo 16 May 2019

0

Tetesi za usajili Simba leo 16 May 2019

Jana kuliibuka taarifa kuwa mchezaji wa Simba Jonas Mkude ameruhusiwa kwenda kucheza soka nje ya nchi mara baada ya mkataba wake kumalizika ambao unamalizika mwisho mwa msimu huu.

USAJILI: Mchezaji azipagawisha Simba, Azam na KMC

Kutokana na taarifa hizo ambazo zilizagaa kwenye mitandao mingi ya kijamii Jonas Mkude ameibuka na kukanusha taarifa hizo.

“Taarifa zinazosambaa kuhusu mimi kuruhusiwa kuondoka Simba Sc mara baada ya mkataba wangu kuisha sio za kweli, sijazungumza na uongozi suala lolote linalohusu mimi kuondoka au suala la mkataba na ndio kwanza nasikia hilo suala, ” Amesema Jonas Mkude, Mchezaji wa Simba SC.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY