Tetesi za usajili Simba leo 25 May 2019

Tetesi za usajili Simba leo 25 May 2019

0

Kiungo wa klabu ya Gor Mahia Francis Kahata amethibitisha kuwa ni kweli amefanya mazungumzo na klabu ya Simba Sc kuelekea kwenye dirisha la usajili.
.
.
“Kuanzia mwezi ujao (6) nitakuwa mchezaji huru, kwasasa naangalia kutafuta changamoto klabu nyingine itakayofika makubaliano basi nitajiunga nayo”
.
.
“Zipo timu nyingi zinanihitaji, kwa Tanzania ni Simba pekee, kama wakifikia makubaliano ninayoyataka nitacheza tu kwasababu mpira ndiyo maisha yangu” Alisema Kahata. .
.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka kwa wakala wa nyota huyo zimedai kuwa tayari mazungumzo ya pande zote mbili zimefikia hatua nzuri na endapo kila kitu kitakwenda sawa kiungo huyo ataitumikia Msimbazi msimu ujao kwa dau la milioni 180 huku mshahara wake kwa mwezi ukiwa ni milioni 8

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY