Tetesi za Usajili Tanzania leo

Tetesi za Usajili Tanzania leo

0

Tetesi za Usajili Tanzania leo

Wakati ligi kuu soka ya Tanzania bara inaelekea mwishoni kazi kubwa imekuwa ni kwa vilabu ambavyo wachezaji wake wanamaliza mkataba kutaka waongeze mikataba mipya

Lakini hii ikiwa ni kwa wale ambao bado timu hizo zinawahitaji kwaajili ya msimu ujao wa ligi na mashindano mengine.

Taarifa kutoka Azam Fc msomaji wa Kwataunit.co.ke zinadai kuwa mshambuliaji wao Obrey Chirwa aligoma kuongeza Mkataba akisubiri mpaka msimu uishe mkataba wa sasa utakapomalizika ndipo asaini mkataba mpya.

Inaelezwa kuwa Chirwa amegoma kuongeza mkataba licha ya Azam Kukaa naye chini mara kadhaa kuhusu kuongeza mkataba mwingine wa kuitumikia Azam Fc.

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY