Tetesi za usajili Yanga leo 24 May 2019

Tetesi za usajili Yanga leo 24 May 2019

0

Tetesi za usajili Yanga leo 24 May 2019

Yanga wamebakiza mchezo mmoja wa ligi kuu soka ya Tanzania bara ambapo watamaliza mechi yao dhidi ya Azam Fc mechi ikichezwa jijini Dar Es Salaam.

Lakini kocha mkuu wa timu ya Yanga Zahera Mwinyi ameelezea kuhusu usajili ambao utakuwa wa kutisha msimu ujao ligi kuu.

Kocha huyo amefunguka kuwa inawezekana akaongeza nyota wapya 11 ambapo katika hao nyota 7 watatoka nje ya nchi (Nje ya Tanzania) na baadhi ya nyota kutoka Tanzania.

Kocha huyo ambaye huwa anasifika kwa kujiamini na uwazi amefunguka kuwa kuna washambuliaji wawili ambao peke yao wanaweza kufunga mabao 40 kwa msimu mmoja ndani ya ligi.

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY