Tetesi za usajili Yanga leo 26 May 2019

Tetesi za usajili Yanga leo 26 May 2019

0

Tetesi za usajili Yanga leo 26 May 2019

Kocha mkuu wa klabu ya Yanga SC, Mwinyi Zahera ameshusha majembe yake manne kutoka nje ambayo ni Mshambuliaji wa Nigeria Victor Patrick Akpan kutoka JKU ya Zanzibar, Beki wa kati Mohamed Ali Camara ‘Pique’ kutoka Horoya ya Guinea aliyekuwa anacheza Young Boys kwa mkopo

Mshambuliaji kutoka Nigeria, Shehu Magaji Bulama na Kiungo Allex komenan kutoka Ivory Coast wachezaji hao wote wanne wapo nchini wanafanya mazoezi na klabu ya Yanga kabla ya kuamua kuwapa mikataba. Kocha wa klabu ya Yanga amepanga kusajili wachezaji 6 wapya wa kimataifa.

Wachezaji hao inaelezwa kuwa tayari washafanya mazungumzo na kocha Zahera Mwinyi na huenda wakawa moja ya wachezaji ambao watatangazwa kuchezea Yanga msimu ujao wa ligi kuu ya Tanzania Bara TPL

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY