Uchawi wa Niyonzima na Mataji ligi kuu

Uchawi wa Niyonzima na Mataji ligi kuu

0

Uchawi wa Niyonzima na Mataji ligi kuu

Ligi kuu soka ya Tanzania Bara leo imempata bingwa wake kwa Simba kutwaa ubingwa wa 20 toka ilipoanzishwa huku vinara wa kutwaa ubingwa wa ligi kuu ikibakia kuwa Yanga kwa kutoa mara 27 mara 7 zaidi ya Simba.

Lakini kwa miaka ya karibuni unaweza kusema Haruna Niyonzima ndiye amekuwa na bahati zaidi kwa kuchukua ubingwa huu mfululizo mwanzo akiwa Yanga na kisha akiwa Simba.

Haruna Niyonzima msomaji wa Kwata Unit anaweza kuingia kwenye vitabu vya kumbukumbu kwani anakuwa mchezaji ambaye anachukua ubingwa wa ligi kuu Tanzania mara 5 mfulululizo.

Kwani Haruna Niyonzima akiwa Yanga kabla ya kuiunga na Simba alichukua mara 3 mfululizo na sasa akiwa Simba mara mbili mfululizo hivyo anakuwa ametwaa ndoo mara 5 mfululizo.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY