Baada ya Bocco Simba wazidi kusajili wengine

Baada ya Bocco Simba wazidi kusajili wengine

0

Baada ya Bocco Simba wazidi kusajili wengine

Baada ya jana Simba kupost picha za usajili wa Mchezaji wao na nahodha John Bocco leo wamepost picha za usajili wa kipa Aishi Manula ambaye ameongeza kandarasi ya miaka mitatu kuendelea kuitumikia Simba.

Kupitia ukurasa wa twitter Simba wameandika

Tanzania one, kipa namba moja wa nchi Aishi Salum Manula ameongeza mkataba mpya wa miaka mitatu na mabingwa wa nchi Simba SC. Sasa ni rasmi Manula ataendelea kuwa nasi mpaka Juni 2022

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY