Deal done : Simba watambulisha mmoja leo

Deal done : Simba watambulisha mmoja leo

0

Deal done : Simba watambulisha mmoja leo

Klabu ya Simba leo imetangaza kumuongezea mkataba wa miaka miwili nahodha wake John Bocco.

Kupitia Twitter Simba wameandika.

John Bocco amesaini mkataba mpya wa miaka miwili kuendelea kuichezea klabu yetu. Bocco ambaye alikuwa mchezaji bora wa Simba na Ligi Kuu kwa msimu wa 2017/18 na Mshambuliaji Bora kwa msimu wa 2018/19 amefunga jumla ya mabao 30 ya Ligi katika misimu miwili

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY