FIFA wamkomalia rais wa CAF

FIFA wamkomalia rais wa CAF

0

SHIRIKA la Soka la Kimataifa (FIFA), limethibitisha kuwa bado wanaendelea na uchunguzi kuhusu sakata la Rais wa Shirikirisho la Soka Afrika (CAF), Ahmad Ahmad kutokana na madai ambayo yanamkabili.


FIFA ilitoa ripoti kuwa hawana taarifa ya madai ambayo yanamzunguka kigogo huyo.


Ahmed alikamatwa na polisi baada ya kukutwa na hatia ya kuruhusu, kununua vifaa vya michezo kwa bei kubwa kinyume na sheria.

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY