Tetesi za usajili Simba leo 6 June 2019

Tetesi za usajili Simba leo 6 June 2019

0

Tetesi za usajili Simba leo 6 June 2019

Mshambuliaji na nahodha wa klabu ya Nkana ya Zambia, Walter Bwalya amekili kupokea ofa kutoka klabu ya CS Sfaxien ya Tunisia na klabu ya Simba SC ya Tanzania

Mshambuliaji huyo mwenye umri wa miaka 25 ameongeza kuwa Kuna Klabu nyingine kutoka Morocco na Algeria zinamuhitaji lakini yeye amevutiwa zaidi na ofa za Klabu ya Simba na Sfaxien.

Simba mara kadhaa imekuwa ikihusishwa kumdaka straika huyo ambaye amekuwa moto sana kwenye safu ya ushambuliaji anapoichezea timu yake ya Nkana Fc.

Kwa Tetesi za Usajili kila siku Install App yetu

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY