USAJILI : Simba wamalizana na Mchezaji Mwingine

USAJILI : Simba wamalizana na Mchezaji Mwingine

0

Mchezaji kiraka wa kimataifa na klabu ya Simba, Erasto Edward Nyoni ameongeza mkataba wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea timu ya Simba. Nyoniameungana na Bocco na Aishi, walisaini kabla ya kuelekea Cairo kwenye fainali za Kombe la Mataifa ya Africa (Afcon).

NO COMMENTS

LEAVE A REPLY