Tetesi za usajili Tanzania leo 11 June 2019

Tetesi za usajili Tanzania leo 11 June 2019 WINGA wa timu ya African Lyon iliyoshuka...

Tetesi za usajili Simba Leo 11 June 2019

Baada ya kuenea taarifa kuwa Ibrahim Ajibu ametia saini mkataba wa kujiunga na Simba, pia akidaiwa kuanza mazungumzo ya kuongeza mkataba na...

Deal done : Simba watambulisha mmoja leo

Deal done : Simba watambulisha mmoja leo Klabu ya Simba leo imetangaza kumuongezea mkataba wa...

Vifaa 21 Yanga hadharani wanne wakigeni waachwa

YANGA wameamua kwamba mastaa wanne wa kigeni watakwenda na maji na kwenye usajili wao mpya watakuwa na nondo tisa mpya za kutoka...

Tetesi za usajili Simba leo 10 June 2019

SIMBA imesisitiza kwamba watafanya usajili wa aina yake msimu huu lakini wachezaji wawili watakaowasajili ni mshtuko. Kikosi hicho kilichopo...

Yanga yampa mkataba kipa akiwa Misri

MABOSI wa Yanga baada ya kusikia kwamba Azam FC wanamnyemelea kipa Metacha Mnata, wameamua kumpa mkataba kipa huyo fasta akiwa Misri.

Fowadi mpya yanga Usipime

HUYO Makambo wenu mtamsahau! Ndivyo unaweza kusema kufuatia fowadi mpya ya Yanga kuonekana ni moto na hii ni kutokana na takwimu zake...

Tetesi za Usajili Yanga leo 10 June 2019

Tetesi za Usajili Yanga leo 10 June 2019 Wakati Yanga ikiwa inaendelea na kazi ya...

Zahera aongeza nguvu usajili CAF

KUFUATIA nafasi iliyopata timu ya Yanga kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu ujao, kocha mkuu wa klabu hiyo Mwinyi Zahera...

Okwi: Sina bifu na Simba

SAHAU kabisa kinachoelezwa mtaani kwamba straika wa Simba,Mganda Emmanuel Okwi amewafungia vioo viongozi wa klabu yake hiyo hasa suala la kuongeza mkataba...

Yanga yajiondoa Kagame

Mabingwa mara 27 wa Ligi Kuu Bara, Yanga imekataa mwaliko wa Chama cha Soka Afrika Mashariki (Cecafa) wa kushiriki mashindano ya Kombe...

Tetesi za usajili Simba Leo 9 June 2019

KIMYA kingi kina mshindo. Hivyo ndivyo inavyotarajiwa kuwa ndani ya Simba kwani viongozi wa klabu hiyo, wanatarajiwa kuwashtua wapenzi wao kwa kuwashushia...

Zahera ataja kocha anayemtaka Yanga

WAKATI mashabiki wa Yanga wakisubiri kwa hamu kuona nani atakuwa msaidizi wa Kocha Mkuu wa timu yao, Mwinyi Zahera, Mkongoman huyo amemtaja...

FIFA wamkomalia rais wa CAF

SHIRIKA la Soka la Kimataifa (FIFA), limethibitisha kuwa bado wanaendelea na uchunguzi kuhusu sakata la Rais wa Shirikirisho la Soka Afrika (CAF),...

Zahera amgomea kocha mpya Yanga

KOCHA wa Yanga, Mwinyi Zahera amegoma katakata kuchaguliwa kocha msaidizi na viongozi wake huku akiwataka wamuachie hiyo kazi yeye wa kuchagua wa...

Matokeo ya Playoff kucheza TPL

Matokeo ya Playoff kucheza TPL

Chilunda afunguka usajili Simba na Yanga

MSHAMBULIAJI wa timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, Shaaban Chilunda, amesema hana mpango wa kucheza katika klabu yoyote hapa nchini kwani...

Wawa awaita Yanga mezani

BEKI wa Simba, Pascal Wawa, amesema kwa kuwa klabu yake hiyo bado imekaa kimya juu yake, anaendelea kukaribisha ofa zaidi kutoka kwingikeo,...

Dante awapa habari njema Yanga

BAADA ya kurejea katika michuano ya kimataifa, beki wa Yanga, Andrew Vincent, ‘Dante’, amewapa habari njema mashabiki wa timu hiyo, akisema hawataichezea...

Tetesi za usajili Simba leo 8 June 2019

MSHAMBULIAJI wa Simba, Adam Salamba, ameomba kuondoka kutokana na kukosa namba katika kikosi cha kwanza cha kocha Patrick Aussems.