Simba yajiondoa Kagame Cup

Mabingwa wa Tanzania Bara, Simba SC imetangaza kujiondoa rasmi kwenye michuano ya Klabu Afrika Mashariki na Kati (Kombe la Kagame) iliyopangwa kuanza...

Yanga yafumua kikosi CAF

YANGA wamemwambia Mwinyi Zahera kwamba timu yake imepata nafasi ya kushiriki Ligi ya Mabingwa kuanzia mwezi Agosti akapagawa kwa furaha na kuwasisitiza...

Mrundi azuia usajili Azam

AZAM FC wenyewe wala hawatishwi na mbwembwe za usajili zinazofanywa na wapinzani wao Yanga kwani wametulia wakisubiri kwanza wamalizane na Mrundi Etienne...

Simba yajibu mapigo usajili wa Yanga

KOCHA wa Simba,Patrick Aussems amesisitiza kwamba usajili utakaofanyika wa wachezaji wa kigeni utakuwa na kishindo cha aina yake na hakuna timu ya...

Nyota 7 watemwa Stars yupo Ajibu na Mkude

Timu ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars inategemewa kusafiri leo kuelekea Misri ambako itaweka kambi kwa ajiki ya kujiandaa na michuano...

Yanga yampa mkataba kiungo Fundi

YANGA imeanza mazungumzo ya kumnunua kiungo mshambuliaji fundi mwenye mkataba na Mtibwa, Salum Kihimbwa. Kihimbwa ni kati ya viungo waliowahi kutajwa kuwaniwa...

Tetesi za usajili Yanga leo 7 June 2019

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera amemnasa beki wa KMC, Ally Ally huku akiibomoa Lipuli FCkwa kusajili mabeki wawili wa pembeni, Paul Ngalema na William Lucian ‘Gallas’...

Namungo wabisha hodi Simba

IMEBAINIKA kuwa nyota wa Simba, Adam Salamba amekuwa akiwindwa na klabu ya Namungo FC ambayo imepanda daraja pamoja na timu ambayo amewahi...

Chirwa afanya maamuzi sasa kusaini timu hii

MAMBO yamemnyokea mshambuliaji wa Azam FC Obrey Chirwa baada ya kuelewana na kukubaliana kusaini mkataba wake mpya na klabu hiyo tukio ambalo...

Ishu ya Ajibu kufeli TP Mazembe yavuja

BAADA ya dili la Ibrahim Ajibu Migomba kutoka Yanga kwenda TP Mazembe ya DR Congo kufeli, mapya yamevuja. Kumbe mshikaji alitaka Mil...

Simba wachemka kwa mchezaji huyu Yanga

MABOSI wapya wa Yanga wamefanikisha mipango ya kumuongezea mkataba wa miaka mitatu beki wake, GadielMichael ambaye ilikuwa kiduchu tu asaini Simba.

Mbappe akili yote AFCON

MSHAMBULIAJI wa timu ya soka ya Tanzania chini ya miaka 17, Serengeti Boys, Kelvin John maarufu Mbappe, amesema akili na mawazo yake...

CAF Yazua jambo Simba, Yanga

KITENDO cha Shirikisho la Soka Afrika (CAF) kutoa nafasi mbili zaidi kwa Tanzania kushiriki michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika na Kombe...

Tetesi za usajili Simba leo 6 June 2019

Tetesi za usajili Simba leo 6 June 2019 Mshambuliaji na nahodha wa klabu ya...

Mkenya atangaza kutua Yanga

KUTOKaNa na usajili wa kutisha ambao unafanywa na Yanga hadi sasa kwa ajili ya kujiandaa na msimu ujao, mshambuliaji Mkenya Duke Abuya...

Fainali klabu bingwa Afrika Kurudiwa

Shirikisho a Soka Barani Afrika (CAF) limeyafuta matokeo ya mechi ya fainali ya pili ya Mabingwa Barani Afrika yaliyoipa Ubingwa Esperance ya...

Tetesi za usajili Yanga leo 6 June 2019

UNAMKUMBUKa yule straika ambaye Simba ilitangaza kumsajili kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika msimu...

Kocha msaidizi wa Yanga huyu hapa

KATIKA kuliboresha benchi lao la ufundi, uongozi wa Yanga upo kwenye mazungumzo ya mwisho na Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime...

Tetesi za usajili Yanga leo 5 June 2019

HII sasa sifa, kama ulidhani Yanga wanatania basi itakuwa ulikosea sana, bado mabingwa hao mara 27 wa taji la Ligi Kuu Tanzania...

Wakala wa beki wa Ivory Coast akutana na mabosi Simba

KWENYE ripoti ya usajili wa Simba ambayo imeachwa na kocha wao Patrick Aussems, amewataka vigogo hao kusajili beki mmoja wa kati kwa...