GOSSIP : Dada yake Usain Bolt afichua Siri ya kaka yake kuwa na Mpango...

Dada yake na  mwanariadha aliyejiwekea Rekodi nyingi duniani upande wa kukimbia mbio fupi hasa Mita 100 na Mita 200 " Usain Bolt "  amefunguka...

MATOKEO LA LIGA : Real Sociedad Vs Real Madrid

Matokeo kati ya Real Sociedad na Real Madrid ( Live Updates) Mechi imeisha kwa Real Madrid kushinda Jumla ya Magoli matatu (3) Kwa Bila (0)...

HABARI SOKA : Neymar Akataa kuendelea kuwa Nahodha(Captain) wa Brazil

Mchezaji Neymar Jr. Ametangaza Rasmi kuachana na Suala la Kuwa Nahodha mara baada ya kusaidia taifa lake kwa kuchukua medali ya dhahabu kwa mara...

MATOKEO VPL : Kagera Sugar Vs Mbeya City

Leo Ligi Kuu Ya Tanzania Vodacom Premier League (VPL) Imeendelea kwa mchezo mmoja leo, Mechi  kati ya Kagera Sugar na Mbeya City ambayo  Imemalizika...

MATOKEO EPL : Sunderland Vs Middlesbrough

Sunderland imekubali kichapo kutoka kwa Middlesbrough licha ya kucheza katika uwanja wake wa nyumbani. Sunderland amekubali kichapo cha bao Mbili kwa Moja kutoka Kwa...

MAAJABU: Wafungwa 17 Wafunga Ndoa wakiwa ndani ya Gereza,Fahamu Ilikuaje hii.

Duniani kuna mambo mengi sana ya kustaajabisha, Huko nchini Colombia Wafungwa 17 Wamefunga Ndoa na wapenzi wao. Mabibi harusi wakiingia Gerezani Pete Ikiwekwa katika Kidole Uongozi wa...

SERENGETI BOYS YAFANYA KWELI DHIDI YA AFRIKA KUSINI

Mpira umekwisha. Serengeti Boys 2, Amajimbos 0. (Afrika Kusini)  Tunasonga mbele kwa jumla ya mabao 3-1 baada ya kutoka sare ya mabao 1-1 wiki...

FIESTA 2016 : Ratiba Nzima ya FIESTA mwaka huu. Tarehe na Mji Husika

Ratiba ya Show zote za Fiesta Mikoa yote ambako Itapita Mwaka Huu ni kama Inavyoonekana Mwezi August Tarehe 20/8 -  Mwanza  Tarehe 26/8 -   Kahama Tarehe 28/8...

SOKA LIVE: Angalia Mechi KAGERA SUGAR vs MBEYA CITY

Bonyeza HAPA Kuangalia mchezo huo

SOKA EPL : Fahamu Wachezaji walioongoza Kupiga Mashuti Yaliyolenga Golini (Shots On Target) Jana

Jana Ile Ligi Pendwa na inayoaminika kufatiliwa zaidi Duniani English Premier League ( EPL ) iliendelea kwa mechi Kadhaa ila kwa jana Wachezaji walioongoza...

PICHA : Matukio ya Fiesta Mwanza 2016

Nyomi la Fiesta Mwanza Dayna Nyange akiwa kwenye Steji ya Tigo Fiesta Mwanza Maua Sama akiimba kwenye tamasha la Fiesta Mwanza Moja kati ya wasanii wazawa wa...

Habari katika kurasa za magazeti ya Tanzania leo Agosti 21, 2016 (Habari Kubwa na...

Habari Zilizopo Katika Magazeti ya Leo Augusti 21

OLYMPICS : Brazil Mabingwa wa Soka Wanaume Olympics,Neymar aliyesemwa vibaya ageuka Shujaa

Timu ya soka ya wanaume ya Brazil imefanikiwa kuweka heshima nyumbani mara baada ya kubeba Medali ya Dhahabu katika fainali waliyocheza dhidi ya Ujerumani. Dakika...

MATOKEO OLYMPICS : BRAZIL VS GERMANY

HALF TIME Brazil   1-0   Germany (27' Neymar) FULL TIME  Brazil   1- 1  Germany (27' Neymar, 60' Max Meyer) ADDED EXTRA TIME 120' Brazil   1- 1...

Timu ya Taifa ya Nigeria Wanaume Yatwaa Medali Olympics

Timu ya soka ya wanaume ya Nigeria Imetwaa Medali ya Shaba baada kushinda nafasi ya Tatu, mara baada ya kuichapa Hondurus kwa bao 3...

Matokeo kati ya Leicester City na Arsenal

Matokeo kati ya  LEICESTER CITY VS ARSENAL FULL TIME Leicester City 0 - 0 Arsenal Kupata habari za Michezo kubwa zote za Leo Bofya HAPA

Matokeo ya Mechi za Ligi Kuu ya Uingereza 20/8/2016

Matokeo ya ligi kuu ya Uingereza  siku ya leo  Stoke City vs Manchester City Burnley vs Liverpool Swansea City vs Hull City Tottenham Vs Crystal Palace Watford Vs Chelsea West...

NYANI aliyekaa na Wanandoa kwa miaka 18 na kuwasababisha kutotoka Usiku kwa miaka 13....

Nyani anayeitwa Digit amekuwa akiishi na wapenzi wa muda mrefu,  kwa takribani miaka 18, wapenzi hao wanaoishi katika mji wa Lyon Ufaransa wamemwelezea Nyani...