TAARIFA ZA USAJILI MANCHESTER UNITED

Mchezaji huyo wa umri wa miaka 27 amejiunga na United kwa bei ambayo haikufichuliwa.Ametia saini mkataba wa miaka mine, na uwezekano wa kuongeza mwaka...

LULU AMUANIKA WAZI MPENZI WAKE

Star tokea Bongo Movie Elizabeth Michael Lulu Ameamua kumuanika mpenzi wake baada ya muda sasa kupita bila kuweka wazi hali hiyo kupitia mtanda wake...

CIARA AFUNGA NDOA NA RUSSEL WILSON

MWANAMUZIKI CIARA AFUNGA NDOA RASMI JANA Baada ya kuvalishwa pete mnamo Machi mwaka huu msanii Ciara amefunga ndoa rasmi na mchezaji wa NFL Russell Wilson...

PICHA ALIZOWEKA GIGY MONEY AKIWA NA KIVAZI CHA AJABU AKIWAACHA FOLLOWERS WAKE NA MASWALI...

Hizi ndizo picha alizoweka Gigy Money kupitia mtandao wake wa Instagram

MATOKEO KATI YA PORTUGAL(URENO) NA WALES

Dakika ya 15. Porugal 0 - 0 Wales Dakika ya 30.     Porugal 0 - 0 Wales     Dakika ya 45 (HALF TIME).     Porugal 0 -...

ZIFAHAMU BAADHI YA SIRI ZILIZOVUJA KUHUSU iPhone 7

Baadhi ya siri zilizotoboka kuhusu simu inayosubiriwa na Wengi ya iPhone 7,  Baadhi ya siri zimeanza kuvunja. Moja kati ya vitu vilivyovuja ni Internal Storage...

PICHA – BONDIA FLOYD MAYWEATHER ANUNUA NDEGE BINAFSI YA PILI

Bondia Floyd Mayweather amekuwa bondia ambaye huwa hawazi kabisa linapokuja suala la kutumia Pesa, alikuwa tayari anandege yake binafsi ila kwasasa ameongeza ndege ya...

ANGALIA VIDEO YA IZZO BIZNESS NA ABELA MUSIC (Dangerous Boy official video)

Angalia video mpya ya Izzo Bizness akiwa na Abela Music (The Amazing) katika video yao ya Dangerous Boy [youtube https://www.youtube.com/watch?v=vsHKxUDr7Ss]

PORTUGAL VS WALES (FAHAMU HISTORIA TIMU HIZI ZILIPOKUTANA,NA DONDOO MUHIMU KUELEKEA MECHI HII)

Wales Na Portugal wameshakutana mara tatu (3) Portugal Kashinda mara mbili (2) Wales Kashinda mara moja (1) Portugal na Wales hawajawahi kukutana katika mashindano yoyote yale zaidi...

HII NDIYO HUKUMU WALIYOPEWA MESSI NA BABA YAKE

Messi na baba yake wamehukumiwa kwenda jela kwa muda wa miezi 21 sawa na mwaka mmoja na miezi tisa baada kukutwa na hatia ya...

HII NDIYO IDADI YA MIAKA ALIYOHUKUMIWA KWENDA JELA OSCAR PISTORIUS

Oscar Pistorius ambaye alikuwa akituhumiwa Kumuua Mpenzi wake REEVA amehukumiwa miaka sita (6), BAADA ya kukutwa na hatia ya kumuua mpenzi wake huyo mwaka...

FAHAMU SIMBA INAKWENDA WAPI KUWEKA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU NA RATIBA NYINGINE

SIMBA SC inatarajiwa kuondoka mjini Dar es Salaam keshokutwa kwenda Morogoro kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...

HARMONIZE – MATATIZO (LYRICS/ MASHAIRI/MISTARI)

VERSE 1 Alfajiri imefika, angaa inang'aa/ Mvua inaanza katika,Ghafla tumbo la njaa/ Naweka sauti kwa spika, Nipate Umbeya wa Dar/ Mara simu inaitaa, jina la anko Twaa/ akisemaa Mama...

BEI YA MAFUTA YAPANDA, FAHAMU KIWANGO CHA FEDHA KILICHOONGEZEKA

Bei ya mafuta imepanda kuanzia leo na kufikia kiwango kikubwa ambacho hakijawahi kufikiwa tangu Januari.  Bei mpya elekezi zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma...

FAHAMU YANGA ITAENDA WAPI KUWEKA KAMBI KABLA YA MECHI NA MEDEAMA YA GHANA

YANGA SC inatarajiwa kuondoka Ijumaa mjini Dar es Salaam kwenda kisiwani Pemba kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wake wa Kundi A...

ALICHOKISEMA WEMA SEPETU BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUPOST COVER YA KUMSAPOTI

Wiki kadhaa zilizopita Diamond Platnumz licha ya kupostiwa picha  na WEMA iliyokuwa ikimuombea kura za BET diamond hakujibu chochote wala Kuonyesha Kujibu chochote. Basi hali...