FAHAMU SIMBA INAKWENDA WAPI KUWEKA KAMBI KUJIANDAA NA LIGI KUU NA RATIBA NYINGINE

SIMBA SC inatarajiwa kuondoka mjini Dar es Salaam keshokutwa kwenda Morogoro kuweka kambi ya kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania...

HARMONIZE – MATATIZO (LYRICS/ MASHAIRI/MISTARI)

VERSE 1 Alfajiri imefika, angaa inang'aa/ Mvua inaanza katika,Ghafla tumbo la njaa/ Naweka sauti kwa spika, Nipate Umbeya wa Dar/ Mara simu inaitaa, jina la anko Twaa/ akisemaa Mama...

BEI YA MAFUTA YAPANDA, FAHAMU KIWANGO CHA FEDHA KILICHOONGEZEKA

Bei ya mafuta imepanda kuanzia leo na kufikia kiwango kikubwa ambacho hakijawahi kufikiwa tangu Januari.  Bei mpya elekezi zilizotolewa na Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma...

FAHAMU YANGA ITAENDA WAPI KUWEKA KAMBI KABLA YA MECHI NA MEDEAMA YA GHANA

YANGA SC inatarajiwa kuondoka Ijumaa mjini Dar es Salaam kwenda kisiwani Pemba kuweka kambi ya wiki moja kujiandaa na mchezo wake wa Kundi A...

ALICHOKISEMA WEMA SEPETU BAADA YA DIAMOND PLATNUMZ KUPOST COVER YA KUMSAPOTI

Wiki kadhaa zilizopita Diamond Platnumz licha ya kupostiwa picha  na WEMA iliyokuwa ikimuombea kura za BET diamond hakujibu chochote wala Kuonyesha Kujibu chochote. Basi hali...

MAMBO KUMI USIYOYAJUA KUHUSU GARI AINA YA LAMBORGHINI

1.Lamborghini ni jina la mwanzilishi wa kampuni hiyo aliyekuwa anaitwa Ferruccio Lamborgini. 2.Lamborghini yenye mwendokasi zaidi duniani inaitwa (Murcielago R-GT) na mwendo wake ni Kilomita...

Video Diamond akielezea Jambo ambalo hatakaa alisahau katika maisha yake

     Umewahi kujiuliza jambo gani Diamond limewahi kumuumiza sana katika maisha yake, Video hii hapa ikieleza kila kitu.     [youtube https://www.youtube.com/watch?v=7wQNHdb8DWI]

SHILOLE ASEMA HAWEZI KUTOA KICK KIZEMBE

Shilole ameendelea kutotaka kumjibu chochote video vixen wa kwenye wimbo wa NUH MZIWANDA unaoitwa jike shupa,  Shilole ameendelea kusema yeye ni Star na ametumia...

HII NDIYO ADHABU WALIYOPEWA KAMPUNI YA MABASI YA CITY BOYS BAADA YA AJALI

Serikali imeifungia kampuni ya mabasi ya City Boys kufanya kazi za Usafiri wa abiria kwa njia ya mabasi kwa muda usiojulikana , baada ya...

CIARA AHOFIA FUTURE KUMDHURU MPENZI WAKE WA SASA RUSSEL WILSON

Kesi ya Ciara na Mpenzi wake wa zamani aliyezaa naye mtoto mmoja mwanamuziki Future, imezidi kufikia patamu baada ya Ciara kusema kuwa anahofu na...

WAKALA WA WA MBWANA SAMATTA WA GENK AELEZA KAMA MCHEZAJI HUYO ATAONDOKA GENK AMA...

Wakala wa mchezaji mtanzania Mbwana Ally Samatta  anayekipiga katika Club ya FC GENK ya  ligi kuu ya Ubelgiji ameelezea kuhusu hatma ya Samatta kama...

New Video | Peter Msechu & Banana Zorro| – Mama (Official Video)

Video ya Peter Msechu & Banana Zorro - Mama (Official Video) [youtube https://www.youtube.com/watch?v=xAgCwkINa0M]

PICHA ZA GODWIN GONDWE AKIWA AMEANZA KAZI KAMA MKUU WA WILAYA YA HANDENI

Godwin Gondwe Akiwa ameanza kazi  kama Mkuu wa Wilaya wa Handeni                

MANENO ALIYOYAANDIKA MWANA FA KWA AY IKIWA NI BIRTHDAY YA AY, AKIKUMBUSHIA MSOTO HUU

Kupitia mtandao wake wa Instagram Mwana Fa aliandika  " kuna siku mwaka aidha 2003 ama 2004,hatuna hata nauli ya daladala ya kwendea mjini,huyu jamaa akaniambia...

TETESI ZA USAJILI LEO JULY 5

TETESI ZA SOKA BARANI ULAYA LEO JULAI 05 Mshambuliaji wa England na Tottenham, Harry Kane atasaini mkataba mpya kusalia White Hart Lane wenye thamani ya...

KIFAA CHA JUNO KILICHOTUMWA NA NASA CHAFIKA SAYARI YA JUPITER

KIFAA kinachojulikana kama Juno Kimefikika katika sayari ya Jupiter siku ya Leo mara baada ya NASA (Wanasayansi ) hawa kutoka Marekani kurusha kifaa hiko...