Nikipata gari Lyrics – OmG

NIKIPATA GARI LYRICS Benz ama, Vogue ama, Range ama Nikipata gari iwe Benz ama, Vogue ama, Range ama (nigga) Nikipata gari ntaball kinoma Nikipata gari, ntakua nakula mabata...

HAWA NDIYO WANAOWANIA TUZO ZA LIGI KUU VODACOM TANZANIA BARA

Hafla ya kukabidhi tuzo mbalimbali za washindi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kwa msimu wa 2015/2016 itafanyika Julai 17 mwaka huu. Jumla ya...

AL SHABAB WAVAMIA KITUO CHA POLISI KENYA

Image copyrightAPImage captionAl_shabab_kenya Polisi nchini Kenya wanasema kuwa zaidi ya wapiganaji 100 wamevamia kituo kimoja cha polisi kaskazini mashariki mwa Kenya. Wanasema wapiganaji wa al-Shabab waliingia...

BINTI WA MIAKA 15 APEWA MIMBA NA BABA YAKE MZAZI.

Binti mmoja aliyetambulika kwa jina la Hadija mwenye umri wa miaka 15 mkoani mbeya amepewa mimba na baba yake mzazi mkoani Mbeya. Baba wa mtoto...

Country Boy – Aah Wapi (Official Video)

Hii ndiyo Video ya wimbo wa Country Boy unaoitwa Aah Wapi  [youtube https://www.youtube.com/watch?v=hCu82PYOkxo]

Angalia ilivyokuwa show ya Diamond Kyela

[youtube https://www.youtube.com/watch?v=EtQzQ3DPQnc] [youtube https://www.youtube.com/watch?v=FnAOIs4irWo] [youtube https://www.youtube.com/watch?v=tGlHGxp_hFM] [youtube https://www.youtube.com/watch?v=TG4ab24eaDI] [youtube https://www.youtube.com/watch?v=HJ4Pti_n_E0]

New Video : Nikki Mbishi feat Becka Title (Kwanini Mimi Official Video)

Nikki Mbishi anakuletea Video ya wimbo wake wa Kwanini mimi akiwa na Becka Title , hii hapa chini [youtube https://www.youtube.com/watch?v=0l_Vj1DfV0k]

LIST YA WASANII NA DJ TOKA TANZANIA WALIOTAJWA KUWANIA TUZO ZA AEAUSA(MAREKANI) 2016

Wanamuziki na DJ kutoka Tanzania ambao ni Diamond Platnumz, AY, Alikiba, Joh Makini na DJ D-Ommy, Ommy Dimpoz, Raymond, Harmonize wote wametajwa katika vipengele...

Beyonce alaani mauaji ya Wamarekani weusi

Mwanamuziki maarufu wa Marekani Beyonce amewataka wamarekani kufikikisha hasira na mkanganyiko kwa wanasiasa na wabunge wao kufuatia mauaji ya kibaguzi dhidi ya wamarekani weusi. Watu...

mamba 100 watoroka hifadhini baada ya mafuriko

Image copyrightGETTYImage captionUchina inatafuta mamba 100 waliotoroka kutoka kwenye hifadhi moja baada ya mafuriko makubwa Mamlaka nchini Uchina inajaribu kutafuta takriban mamba 100 waliotoroka kutoka...

MAELEZO YANAYOTHIBITISHA BARAKA DA PRINCE KUSAINI NA ROCKSTAR 2000 YAKO HAPA

Baada ya taarifa kuhusu Baraka da prince kuhusishwa kusaini kwenye kampuni ya Rockstar 2000  huku meneja wake wa sasa akiwa haelewi kinachoendelea ROCKSTAR 2000...

MFAHAMU MCHEZAJI ALIYEKAMILISHA MAZUNGUMZO NA SIMBA ANAYESUBIRI KUSAINI TU

Mara baada ya tetesi zahapa na pale kuwa Simba iko mbioni kumnasa mchezaji Shizza Kichuya basi ndo ujue siyo story issue tayari imekamilika. Kupitia Chanzo...

PETER CECK ATANGAZA KUSTAAFU TIMU YAKE YA TAIFA

Golikipa wa Arsenal ambayed pia ni kipa wa timu ya taifa ya Czeck  Republic Petr Ceck ametangaza rasmi kustaafu kuchezea timu ya taifa lake. Ceck...

List ya wachezaji wanaoongoza kwa magoli uefa Euro 2016 mpaka sasa

PlayerTeamGoals Antoine GriezmannFrance6 Alvaro MorataSpain3 Cristiano Ronaldo dos Santos AveiroPortugal3 Dimitri PayetFrance3

JURGEN KLOPP AMEONGEZA MKATABA KUIFUNDISHA LIVERPOOL.

Kocha wa timu ya Liverpool Jurgen Klopp ameongeza mkataba wake katika club ya Liverpool ya nchini Uingereza. Jurgen Klopp ameongeza mkataba wa miaka sita  6...

UTATA MKATABA MPYA WA BARAKA DA PRINCE NA ROCKSTAR 2000,MENEJA WA SASA WA BARAKA...

Msanii Baraka amesaini mkataba na kampuni ya RockStar2000 ambayo inasimamia kazi za Lady Jaydee, Ila taarifa za meneja wake Mkalla Akiongea kupitia PLANET BONGO...

TAARIFA ZA USAJILI MANCHESTER CITY

Timu ya Man City inahusishwa kuwa katika mazungumzo na wakala wa mchezaji Bonnucci ambaye anakipiga katika timu ya Juventus. Habari zinasema kuwa wakala wa mchezaji...

KURASA ZA MBELE ZA MAGAZETI(HARD NEWS NA HABARI ZA MICHEZO) LEO JULY 8

Habari katika magazeti ya Tanzania leo Ijumaa Julai 8, 2016. Habari kubwa katika magazeti ya leo ni kuhusu uteuzi wa wakurugenzi wa Miji, Majiji,...

RAIA WEUSI NAO WAUA POLISI MAREKANI

Polisi wanne (4) wameripotiwa kuuawa huko Dallas nchini Marekani, huku polisi saba (7) wakijeruhiwa mara baada ya watu kuwashambulia polisi hao. Polisi hao walikuwa wakilinda...

MATOKEO EURO KATI YA UFARANSA(FRANCE) NA UJERUMANI (GERMANY)

Dakika ya 15 France 0 - 0 Germany Dakika ya 30 France 0 - 0 Germany Ball Possessions  France 38% - 62 %Germany Dakika ya 45 (HALF TIME) France 1 -...